WASIMA - SEMINA ELEKEZI JUU YA UTENGENEZAJI WA KITALU CHA MICHE YA MITI
![]() |
| Mwl. Kubalyenda akitoa ufafanuzi juu ya Malengo ya klabu ya mazingira shule ya sekondari Mamba na faida zitokanazo na kujiunga na klabu ya mazingira. tarehe 11 / 12 /2018 |
![]() |
| Mwakilishi kutoka WASIMA akitoa elimu juu ya utengenezaji wa mbolea 11 / 12 /2018 |
![]() |
| Mwanafunzi akitaja faida za upandaji miti |
![]() |
| Picha ya pamoja klabu ya mazingira shule ya sekondari mamba na wawakilishi kutoka WASIMA |
![]() |






MATOKEO F-II
No comments