MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 MAMBA SECONDARY SCHOOL
BONYEZA HAPA
This is the site for Mamba Secondary School in (Mpimbwe, Mpanda - Katavi). It is hosted by Mamba Sec. School Environmental Club
Ushirikishwa wa wanafunzi ktk elimu ya mazingira - Mamba sec. school
wanaklabu wakiweka undongo kwenye viriba wanaklabu wakikata viriba wanaklabu wakiwa wamebeba viriba baada ya kukatwa kwa ajili...
Pichani ni jinsi mbegu za miche ya miti zinavyoanza kuota (kutokezea)
Wanaklabu ya mazingira wakiandaa udongo kwa ajili ya kuotesha mbegu za miche ya miti Wanaklabu ya mazingira wakiandaa udongo kwa ajil...
Wanaklabu ya mazingira wakiandaa sehemu ya kuweka miche ya miti tarehe 18 /12 /2018 Eneo ambalo tayari limeandaliwa kwa ajili ya kuwek...
Mwl. Kubalyenda akitoa ufafanuzi juu ya Malengo ya klabu ya mazingira shule ya sekondari Mamba na faida zitokanazo na kujiunga na klabu ya...
Pichani ni Mwl. Oscar (General) akiwapa mitihani (annual examination results) yao wanafunzi wa kidato cha tatu 2018 Pichani ni Mwa...
Pichani ni Mwl. Kubalyenda akibadilishana mawazo na wanafunzi wa kidato cha kwanza baada ya kukamilisha matengenezo ya vilimbweta kwa ajil...